Kiveps ni lugha ya Kiurali nchini Urusi inayozungumzwa na Waveps. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiveps imehesabiwa kuwa watu 1640. Waveps wengi wanatumia lugha ya Kirusi. Hata hivyo, kuna jitihada za kuendeleza lugha ya Kiveps kupitia elimu ya msingi, redio na maandiko.

Kuongea Kiveps 1
Kuongea Kiveps 2

Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiveps kiko katika kundi la Kifini-Kiugori. Ingawa kinafanana na Kilivvi na Kiludi, ni lugha tofauti. Wengine huangalia lugha hizo kuwa lahaja za Kikareli.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiveps kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.