Kiwakhi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Afghanistan, Pakistan, Tajikistan na Uchina inayozungumzwa na Wawakhi. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiwakhi nchini Afghanistan imehesabiwa kuwa watu 17,000. Pia kuna wasemaji 20,000 nchini Pakistan (2008), 15,000 nchini Tajikistan (2012) na 6000 nchini Uchina (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwakhi iko katika kundi la Kipamir.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwakhi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.