Kiwar-Jaintia ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Wawar-Jaintia. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiwar-Jaintia nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 25,900. Pia kuna wasemaji 16,000 nchini Bangladesh (2003). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiwar-Jaintia iko katika kundi la Kikhasi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiwar-Jaintia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.