Kiyawa ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wayawa. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiyawa imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiyawa iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyawa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.