Kizaysete (pia Kizayse-Zergulla) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wazayse na Wazergulla, makabila mawili ambao huzungumza lugha moja. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kizaysete imehesabiwa kuwa watu 18,500; idadi ya Wazayse ilikuwa 10,200 na ya Wazergulla 7600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kizaysete iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kizaysete kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.