Klas Pontus Arnoldson

Klas Pontus Arnoldson (27 Oktoba 184420 Februari 1916) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Sweden. Mwaka wa 1908, pamoja na Fredrik Bajer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.

Klas Pontus Arnoldson
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Klas Pontus Arnoldson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.