Konstantin Novoselov

Sir Konstantin Sergeyevich Novoselov (amezaliwa 23 Agosti, 1974) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi; pia amepata uraia wa Uingereza. Hasa amechunguza grafini. Mwaka wa 2010, pamoja na Andre Geim, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Mwaka wa 2012 alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza.

Konstantin Novoselov
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Konstantin Novoselov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.