Korongo Domo-wazi

Ndege mkubwa wa familia Ciconiidae
Korongo domo-wazi
Korongo domo-wazi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Ciconiiformes (Ndege kama makorongo)
Familia: Ciconiidae (Ndege walio na mnasaba na makorongo)
Gray, 1840
Jenasi: Anastomus
Bonnaterre, 1791
Spishi: A. lamelligerus
Temminck, 1823

Korongo domo-wazi (Anastomus lamelligerus) ni ndege anayeishi katika Afrika na Madagascar.

Makala hii kuhusu ndege fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Korongo Domo-wazi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.