Kreyol Ayisien au Krioli ya Haiti ni lugha ya Krioli iliyozaliwa nchini Haiti na kuwa moja ya lugha rasmi katika nchi hiyo. Ndiyo Krioli kubwa zaidi duniani kwa kuwa lugha hiyo inaongelewa na watu milioni 10-12[1].

Kreyol Ayisien

Asili ya lugha ni kukutana kwa watumwa kutoka nchi za Afrika na mabwana wao waliosema Kifaransa huko Haiti[2].

Kifaransa na Krioli ya Haiti zinafanana sana katika msamiati; takriban asilimia 90 za maneno ya Krioli zimepokewa kutoka Kifaransa. Lakini mara nyingi maana ya maneno imebadilika, na kwa msemaji wa Kifaransa cha Kisasa si rahisi kuelewa Krioli hiyo moja kwa moja. Vilevile Kifaransa ni lugha ya pili kwa wazawa wengi wa Haiti.[3]

Kwa miaka mingi Kifaransa sanifu kilikuwa lugha rasmi pekee lakini katiba ya mwaka 1987 ilitambua Kikrioli kama lugha rasmi ya pili.

Marejeo hariri

  1. DeGraff, Michel; Ruggles, Molly (1 August 2014). "A Creole Solution for Haiti's Woes". The New York Times. uk. A17. ISSN 0362-4331. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 6 September 2015. Under the 1987 Constitution, adopted after the overthrow of Jean‑Claude Duvalier’s dictatorship, Haitian  Creole and French have been the two official languages. But at least 95 percent of the population speaks only Creole.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate= (help)
  2. Bonenfant, Jacques L. (2011). "History of Haitian-Creole: From Pidgin to Lingua Franca and English Influence on the Language". Review of Higher Education and Self-Learning 3 (11). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 March 2015.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate= (help)
  3. Lagarde, François (2007). "5. ;Langues § 1. Locaters § 1.2. ;Immigrés". Français aux Etats-Unis (1990–2005): migration, langue, culture et économie. Transversales (kwa Kifaransa) 20. Bern, Switzerland: Peter Lang International Academic Publishers. uk. 137. ISBN 978-3-03911-293-7. LCCN 2008271325. OCLC 122935474. le français et le créole haïtien ;... sont des langues différentes « ;non-mutuellement intelligibles ;» 
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kreyol Ayisien kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.