Kromasi wa Aquileia

Kromasi wa Aquileia (Aquileia, leo nchini Italia, 335/340 - 407 hivi) alikuwa askofu mkuu wa mji huo kuanzia mwaka 388 hivi hadi kifo chake [1].

Mt. Kromasi na Mt. Sebastiani.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu na babu wa Kanisa.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Desemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Pio Paschini, Le vicende politiche e religiose del territorio friulano da Costantino a Carlo Magno (secc. IV-VIII), Memorie storiche forogiuliesi, Vol. 8, 1912, pag. 51-64.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.