Labuan ni kisiwa kikuu cha funguvisiwa lenye jina hilohilo ambalo tangu mwaka 1984 limekuwa eneo la shirikisho katika nchi ya Malaysia.

Ramani ya kisiwa cha Labuan pamoja na visiwa vilivyo karibu.

Inapatikana kaskazini kwa kisiwa cha Borneo ambacho ni cha tatu duniani kwa ukubwa.

Wakazi ni 86,908 (2010); kati yao 76% ni Waislamu, 12.4% ni Wakristo, 9% Wabuddha n.k.

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Labuan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.