Lambati wa Zaragoza

Lambati wa Zaragoza (kwa Kihispania: Lamberto; alifariki Zaragoza, Hispania, karne ya 8) alikuwa mkulima Mkristo aliyeuawa kwa kukatwa kichwa kutokana na imani yake.

Mt. Lambati akishika mikononi kichwa chake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini[2].

Sikukuu yake ni tarehe 19 Juni[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Acta Sanctorum; t. II, Aprilis ad diem 16, París, 1865, pp. 410-11.
  • Risco, M. España Sagrada; t. XXX, Madrid, 1775, pp. 295-300.
  • Zaragoza, L. de. Disertación histórico-crítico-apologética sobre la vida y martirio de San Lamberlo, mártir cesaraugustano. Pamplona, s.a. [post 1775].

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.