Laurenti wa Canterbury

Laurenti wa Canterbury (alifariki 2 Februari 619) kuanzia mwaka 604 alikuwa askofu mkuu wa pili wa Canterbury (Uingereza).

Kaburi la Mt. Laurenti huko Canterbury.

Alikuwa ametumwa huko na Papa Gregori I mwaka 595 kama mmisionari kwa Waangli na Wasaksoni pamoja na Augustino wa Canterbury[1]. Aliendeleza na kustawisha kazi ya huyo mtangulizi wake, hasa kwa kumuongoa mfalme Edbati.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2] au 3 Februari.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

     . http://www.oxforddnb.com/view/article/16166. Retrieved 7 November 2007. Kigezo:ODNBsub
      .

Marejeo mengine hariri

  • Sharpe, R. (1995). "The Setting to St Augustine's Translation, 1091". In Eales, R.. Canterbury and the Norman Conquest: Churches, Saints, and Scholars, 1066-1109. London: Hambledon Press. pp. 1–13. ISBN 185285068X
      .
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.