Leo Sowerby (1 Mei 18957 Julai 1968) alikuwa mtungaji muziki, mpiga kinanda na mwalimu wa muziki kutoka nchi ya Marekani. Alifundisha na kupiga kinanda hasa katika mji wa Chicago. Mwaka wa 1946 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer ya Muziki ya muziki kwa utungaji wake wa “Wimbo ya Jua” (kwa Kiingereza Canticle of the Sun).

Faili:Leo Sowerby.jpg
Leo Sowerby


Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leo Sowerby kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.