Leonardo Wilhelm DiCaprio (amezaliwa tarehe 11 Novemba, 1974) ni mwigizaji na mtaarishaji wa filamu maarufu kutoka nchini Marekani.

Leonardo DiCaprio
Leonardo DiCaprio mnamo 2014
Leonardo DiCaprio mnamo 2014
Jina la kuzaliwa Leonardo Wilhelm DiCaprio
Alizaliwa 11 Novemba, 1974
Hollywood
Kazi yake Mwigizaji
Mtaarishaji
Miaka ya kazi 1989 -
Tovuti Rasmi LeonardoDiCaprio.com

Huenda akawa anafahamika kama mwigizaji maarufu aliyeigiza katika filamu ya Titanic.

Viungo vya nje hariri

 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leonardo DiCaprio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.