Likasi

Likasi (zamani ulijulikana kwa Kifaransa kama Jadotville na kwa Kiholanzi kama Jadotstad) ni mji wa Katanga Juu, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (zamani ilijulikana kama Zaire)

Likasi (zamani ulijulikana kwa Kifaransa kama Jadotville na kwa Kiholanzi kama Jadotstad) ni mji wa Katanga Juu, katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (zamani ilijulikana kama Zaire).

Sehemu uchimbaji madini(Shinkolobwe) ya mji wa Likasi

Makadirio ya idadi ya watu ni 447,449 (2012).

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Likasi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.