Limoges ndiyo mji mkuu katika mkoa la Limousin. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 250,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 690-1410 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Sehemu ya mji wa Limoges


Limoges
Limoges is located in Ufaransa
Limoges
Limoges

Mahali pa mji wa Limoges katika Ufaransa

Majiranukta: 45°51′0″N 1°15′0″E / 45.85000°N 1.25000°E / 45.85000; 1.25000
Nchi Ufaransa
Mkoa Limousin
Wilaya Haute-Vienne
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 135,539
Tovuti:  www.ville-limoges.fr

Historia hariri

Jiografia hariri

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Limoges kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.