Linda Buck (amezaliwa 29 Januari, 1947) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mfumo wa kunusa. Mwaka wa 2004, pamoja na Richard Axel, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Linda Buck
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Linda Buck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.