Lisel Mueller (amezaliwa 8 Februari 1924) ni mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1997 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lisel Mueller kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.