Lugha za Kiandamani

Lugha za Kiandamani ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa katika visiwa vya Andaman nchini Uhindi. Idadi ya lugha katika familia hiyo ilikuwa angalao kumi lakini siku hizi lugha nyingi za Kiandamani zimeshatoweka.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kiandamani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.