Lugha za Kitai-Kadai

Lugha za Kitai-Kadai ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa katika Asia ya Kusini-Mashariki, hasa nchini Uthai na Uchina. Idadi ya lugha katika familia hiyo ni kati ya 90 na 100.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kitai-Kadai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.