Lukas Reiff Lerager (alizaliwa 12 Julai 1993) ni mchezaji wa soka wa Denmark ambaye anacheza katika klabu ya Ufaransa Bordeaux kama kiungo.

Lukas Lerager

Kazi ya klabu hariri

Lerager alicheza mpira wa miguu katika klabu ya AB, Viborg na Zulte Waregem. Alijiunga na klabu ya Ufaransa Bordeaux mwezi Juni 2017, akiweka mkataba wa miaka minne (4).

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lukas Lerager kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.