Lutricia McNeal (amezaliwa tar. 27 Novemba, 1973 huko mjini Oklahoma City, Oklahoma) ni mwimbaji wa muziki wa soul/pop kutoka nchini Marekani. Alipata mafanikio yake kimataifa kwa vibao vyake kadhaa kama vile "Ain't That Just the Way" (UK: #6, Germany: #5, Sweden: #1) kibao ambacho kiliuza nakala milioni mbili dunia nzima, "Stranded" (UK: #3, Sweden: #6) na "Someone Loves You Honey" (UK: #9).

Lutricia McNeal
Taarifa za awali
Jina la kuzaliwaLutricia McNeal
Amezaliwa27 Novemba 1973 (1973-011-27) (umri 50)
Miaka ya kazi1996–hadi sasa
StudioArcarde Records (1996–2000)
Bonnier Amigo / Polydor Records (2002–2004)
Edel Records (2004–2005)
Playground Music (2005–2006)
Exzess Berlin (2007)
tspmusic (2011–)
Wavutihttp://www.lutriciamcneal.net

Wasifu hariri

Maisha ya awali hariri

McNeal ni mtoto wa saba katika familia ya watoto tisa. Baba yake ni mchungaji na yeye Lutracia alikuwa mwimbaji wa kwaya katika kanisa la katika kamji kao. Kipaji chake kiligunduliwa na Rogers/Grantham, kazi yake ilianza kushika hatamu baada ya ziara ya Ulaya, ambapo alijiunga na kikundi cha watayarishaji cha Kiswidi Rob'n'Raz. Kwa pamoja watatu hao walipeleka katika chati vibao kadhaa ikiwa pamoija na Top 20 #1 huko Sweden, kibao cha "Clubhopping" (Sweden: #13), "Bite the Beat" (Sweden: #14) na "In Command" (Sweden: #1).

Miaka kadhaa baadaye akaanza kazi zake za kujitegemea na kufanya kibao #1 "Ain't That Just The Way" kibao ambacho kilimfanya awe maarufu dunia nzima. Kilikuwa habari mjini katika chati mbalimbali huko Ulaya na baadaye huko Asia mwisho kikatua katika chati maarufu za US Billboard Dance Charts na kushika nafasi ya kwanza. Kibao baadaye kilitunukiwa dhahabu katika nchi kadha wa kadha.

Diskografia hariri

Studio albamu hariri

Single hariri

Mwaka Single Nafasi iliyoshika Tunukio
Albamu
UK
[1]
SWE
GER
AUT
NOR
FIN
SWI
NZ
1997 "Ain't That Just the Way" 6 1 5 2 15 3 2
  • UK: Silver
My Side of Town
"My Side of Town" 30 73 1
  • NZ: Platinum
"Washington"
1998 "Stranded" 3 6 33 4 4 14 3
  • NZ: Platinum
  • UK: Silver
"Someone Loves You Honey" 9 26 51 13 17 30
"The Greatest Love You'll Never Know" / "When A Child Is Born" 17 36
1999 "365 Days" 18 58 26 14 31 39 Whatcha Been Doing
2000 "Fly Away" 14 84 7 61
"Sodapop" 54 Non-album song
2002 "Perfect Love" 8 41 22 13 20 93 Metroplex
"You Showed Me"
2003 "Power Of Music"
"Wrong Or Right" 50
2004 "Promise Me" 86 Soulsister Ambassador
2005 "Rise" Rise
2005 "It's Not Easy" 3 Non-album song
"Best Of Times" 6
2007 "Hold That Moment"
2008 "Same Same Same"
2011 "You Make Me Feel Good"
"—" ina maananisha ya matoleo ambayo hayajashika chati katika nchi yoyote ile au sehemu yoyote, ama wimbo haujatolewa katika nchi hiyo.

Marejeo hariri

  1. Roberts, David (2006). British Hit Singles & Albums (19th ed.). London: Guinness World Records Limited. p. 341. ISBN 1-904994-10-5.