Mabano (pia: parandesi kutoka Kigiriki na braketi kutoka Kiingereza) ni jozi la alama za uakifishaji ambalo kwa kawaida linatenga sehemu ya sentensi au taarifa kutoka muktadha wake[1].

Mabano ya kawaida zaidi ni yale ya mviringo ( ), ya mraba [ ] na ya maua { }.

Kutoka katika lugha, mabano yamekuwa yakitumika sana katika hisabati.

Tanbihi hariri

  1. "Unicode Bidirectional Algorithm: 3.1.3 Paired Brackets". Unicode Technical Reports. Iliwekwa mnamo 24 April 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)

Marejeo hariri

  • Lennard, John (1991). But I Digress: The Exploitation of Parentheses in English Printed Verse. Oxford: Clarendon Press. ISBN 0-19-811247-5. 
  • Turnbull (1964). The Graphics of Communication. New York: Holt.  States that what are depicted as brackets above are called braces and braces are called brackets. This was the terminology in US printing prior to computers.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mabano kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.