Madura ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kaskazini-mashariki wa kisiwa cha Java. Eneo la kisiwa ni 5025 km². Baadhi ya miji kisiwani ni Sampang na Bangkalan. Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 3,622,763. Watu wakaao kisiwani kwa Madura huongea hasa Kimadura.

Picha ya ramani Kisiwa cha Madura
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.