Maebashi (前橋市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Gunma. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 340,000 wanaoishi katika mji huu.

Mji wa Maebashi








Maebashi
Faili:Flag of .png
Bendera
Nchi Japani
Kanda Kantō
Mkoa Gunma
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 338 799
Tovuti:  www.city.maebashi.gunma.jp
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Maebashi, Gunma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.