Mafindofindo (kwa Kiingereza tonsillitis) ni ugonjwa unaopata findo[1][2][3].

Uvimbe wa koromeo usababishwao na streptokoki na athari juu ya findo.

Dalili zake ni pamoja na maumivu ya koo, homa, uvimbe wa findo na shingo, tena shida ya kumeza.[1]

Chanzo cha kawaida ni virusi, lakini pia bakteria[4].

Ikitokana na streptokoki wa kundi A, inaitwa uvimbe wa koromeo usababishwao na streptokoki (strep throat).[5]

Tanbihi hariri

  1. 1.0 1.1 "Tonsillitis". PubMed Health. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 January 2017. Iliwekwa mnamo 30 September 2016.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "Tonsillitis". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 March 2016. Iliwekwa mnamo 4 August 2016.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. Klug, TE; Rusan, M; Fuursted, K; Ovesen, T (August 2016). "Peritonsillar Abscess: Complication of Acute Tonsillitis or Weber's Glands Infection?". Otolaryngology--head and neck surgery : official journal of American Academy of Otolaryngology-Head and Neck Surgery 155 (2): 199–207. PMID 27026737. doi:10.1177/0194599816639551.  Check date values in: |date= (help)
  4. Lang, Florian (2009). Encyclopedia of Molecular Mechanisms of Disease (kwa Kiingereza). Springer Science & Business Media. uk. 2083. ISBN 9783540671367. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-02. 
  5. Ferri, Fred F. (2015). Ferri's Clinical Advisor 2016: 5 Books in 1 (kwa Kiingereza). Elsevier Health Sciences. uk. PA1646. ISBN 9780323378222. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-02. 

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mafindofindo kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.