Mahafali (kutoka neno la Kiarabu) ni sherehe ya wanafunzi kupata diploma au shahada ya kitaaluma au sherehe ambayo wakati mwingine huhusishwa na kuhitimu masomo.

Mwanafunzi akiwa amepokea shahada yake.

Tarehe ya mahafali mara nyingi huitwa siku ya kuhitimu.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mahafali kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.