Majimbo na maeneo ya Australia

Kigezo:Australiamap

Hii ni orodha ya majimbo na maeneo ya Australia:

Orodha hariri

Majimbo na maeneo ya Australia
Bendera Jina ya Jimbo/Eneo ISO[1] Posta Type Mji mkuu Wakazi Eneo (km²)
Visiwa vya Ashmore na Cartier eneo ya ng'ambo (West Islet) 0 199
  Australian Capital Territory AU-ACT ACT eneo Canberra 344,200 2,358
  Kisiwa cha Krismasi CX eneo ya ng'ambo Flying Fish Cove 1,493 135
  Visiwa vya Cocos (Keeling) CC eneo ya ng'ambo Kisiwa cha West 628 14
Visiwa vya Coral Sea eneo ya ng'ambo (Kisiwa cha Willis) 4 10
Kisiwa cha Heard na Visiwa vya McDonald HM eneo ya ng'ambo (Atlas Cove) 0 372
Jervis Bay Territory JBT eneo (Jervis Bay Village) 611 70
  New South Wales AU-NSW NSW jimbo Sydney 6,967,200 800,642
  Kisiwa cha Norfolk NF eneo ya ng'ambo Kingston 2,114 35
  Northern Territory AU-NT NT eneo Darwin 219,900 1,349,129
  Queensland AU-QLD QLD jimbo Brisbane 4,279,400 1,730,648
  Australia Kusini AU-SA SA jimbo Adelaide 1,601,800 983,482
  Tasmania AU-TAS TAS jimbo Hobart 500,001 68,401
  Victoria AU-VIC VIC jimbo Melbourne 5,297,600 227,416
  Australia ya Magharibi AU-WA WA jimbo Perth 2,163,200 2,529,875


Marejeo hariri

  1. ISO 3166-2:AU (ISO 3166-2 codes for the states and territories of Australia)

Tazama pia hariri