Majira (kutoka neno la Kiarabu) au msimu ni sehemu ya mwaka ambayo ina tabia za pekee upande wa hali ya hewa.

Majira yasiyo ya mvua huko Maharashtra, India
Majira ya mvua huko Maharashtra, India.

Katika Dunia, majira yanapatikana kutokana na sayari hiyo kuligunzuka Jua na kuwa na mhimili usio wima.

Katika Afrika Mashariki mara nyingi yanajitokeza zaidi majira mawili ambayo ni majira ya mvua na kiangazi.

Katika maeneo yaliyo mbali na ikweta yanahesabika majira manne: majira ya kuchipua, majira ya joto, majira ya kupuputika majani na majira ya baridi.

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Maris, Mihaela, St. Luchian School, Bacau, Romania, Seasonal Variations of the Bird Species, ref. ecological seasons pp. 195–196 incl. and pp. 207–209 incl.ya nje

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Majira kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.