Mang'ula ni kata ya Wilaya ya Ifakara Mjini katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania yenye Postikodi namba 67505.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 6,144 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 36,176 [2] walioishi humo.

Wakazi wa kata hii hujishughulisha na kilimo cha mpunga pamoja na miwa.

Utalii unaofanyika katika hifadhi ya misitu ya Udzungwa, ambayo ni kivutio kikubwa kwa watalii kutoka nje ya nchi, kama vile Mbega Mwekundu ambao hawapatikani sehemu nyingine duniani.

Marejeo hariri

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Sensa ya 2012, Morogoro - Kilombero DC". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-06-03. 
  Kata za Wilaya ya Ifakara Mjini - Mkoa wa Morogoro - Tanzania  

Ifakara | Katindiuka | Kibaoni | Kiberege | Kidatu | Kisawasawa | Lipangalala | Lumemo | Mang'ula | Mang’ula 'B' | Mbasa | Michenga | Mkula | Mlabani | Msolwa Station | Mwaya | Sanje | Signal | Viwanjasitini


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mang'ula kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.