Manila ni mji mkuu wa Ufilipino kwenye kisiwa cha Luzon kando la Hori ya Manila. Pamoja na miji 16 mingine ni sehemu ya mkoa wa jiji la Metro Manila. Mji una wakazi milioni 1.6 na rundiko la mji wote takriban milioni 15.

Sehemu ya Mji wa Manila


Jiji la Manila
Nchi Ufilipino
Tovuti:  www.manila.gov.ph
Rundiko la mji wa Metro Manila
Ramani ya Manila
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Manila kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: