Mansueti wa Milano

Mansueti wa Milano (kwa Kiitalia: Mansueto Savelli; alifariki Milano, Italia, 681) alikuwa Askofu wa 40 wa mji huo kuanzia mwaka 686.

Mt. Mansueti akisali.

Alipinga kwa nguvu zote na kwa kitabu maalumu fundisho la kwamba Yesu alikuwa na utashi wa Kimungu tu, si ule wa kibinadamu pia. [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Februari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Cazzani, Eugenio (1996). Vescovi e arcivescovi di Milano (in Italian). Milano: Massimo. pp. 56–57. ISBN 88-7030-891-X. 
  • Majo, Angelo (1989). "Mansueto, santo" (in Italian). Dizionario della Chiesa Ambrosiana. 3. Milano: NED. p. 1863. ISBN 88-7023-102-X
      .
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.