Margerita wa Cortona

Margerita wa Cortona (Laviano 1247Cortona 22 Februari 1297) alikuwa mwanamke wa Italia aliyefanya toba katika Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko baada ya kuishi na mwanamume bila ndoa kwa muda wa miaka kumi.

Mt. Margerita akiwa nje ya nafsi yake.

Kwa kushtushwa sana na kifo cha ghafla cha huyo hawara wake, alifidia kwa malipizi makali dhambi za ujanani akazama katika mambo ya mbinguni kwa kujazwa na Mungu karama za pekee sana.

Papa Benedikto XIII alimtangaza mtakatifu tarehe 16 Mei 1728.

Sikukuu yake ni tarehe ya kifo chake[1] au 16 Mei.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.