Maria Msulubiwa Di Rosa

Maria Msulubiwa Di Rosa (aliishi Brescia nchini Italia 6 Novemba 1813 - 15 Desemba 1855) alikuwa mwanamke tajiri wa mji huo ambaye maisha yake yote alihudumia maskini na wagonjwa. Kwa ajili hiyo alianzisha pia shirika la masista[1][2][3][4].

Sanamu yake.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu bikira tangu tarehe 12 Juni 1954, alipotangazwa na Papa Pius XII; kabla ya hapo Papa huyo alimtangaza mwenye heri tarehe 26 Mei 1940.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Desemba kila mwaka[5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "St. Maria Crocifissa Di Rosa - Saints & Angels". Catholic Online. Iliwekwa mnamo 1 November 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Saint Mary di Rosa". Saints SQPN. 19 April 2019. Iliwekwa mnamo 5 July 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "St. Maria Crocifissa di Rosa". Pilgrim Center of Hope. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-11-01. Iliwekwa mnamo 5 July 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/35650
  5. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

  • LE ANCELLE DELLA CARITÀ DI BRESCIA: Per la Beatificazione della loro Madre Fondatrice Maria Crocifissa di-Rosa nel I° Centenario della Congregazione 1840-1940.
  • FOSSATI, LUIGI: Beata Maria Crocifissa Di-Rosa [Di Rosa] - Fondatrice delle Ancelle della Carità in Brescia 1940.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.