Martina ni albamu ya saba ya msanii wa Muziki wa Country wa Marekani Martina McBride. Ilitolewa mnamo Sptemba 30, 2003. Iliwahikuwa ya kwanza katika chati za Country album, nay saba katika chati za US album. Imedhibitishwa mara mbili kuwa katika kiwango cha Multi-Platinum. Albamu hii ilitoa Single nne katika chati za Country: "This One's for the Girls" katika #3, "In My Daughter's Eyes" katika #4, "How Far" katika #12 na "God's Will" katika #16. "This One's for the Girls", ambayo imeshirikisha sauti za kuandamana kutoka kwa Faith Hill, Carolyn Dawn Johnson, na mabinti wawili wa McBride, kilikuwa kibao cha kwanza na cha pekee kufika nafasi ya kwanza katika chati za Adult Contemporary. Kundi la Pop la wasichana Girl Authority walishirikisha "This One's for the Girls" kwa albamu yao ya pili Road Trip.

Hamna Jina
{{{Jina}}} Cover
Studio album

Albamu hii pia inashirikisha live concert ya wimbo wa kitambo "Over the Rainbow". Kibao cha Pili "She's a Butterfly", kinamshirikisha Big & Rich katika sauti za nyuma. Ricky Skaggs anacheza mandolin na kuimba sauti za nyuma pamoja na bibiye, Sharon White, katika kibao cha "Reluctant Daughter", ambacho kilipangwa na Skaggs. Kibao , "Wearing White", kinashirikisha Vince Gill katika sauti za kuandamana. Toleo la ‘Limited Edition’ lililotolewa kupitia Wal-Mart retail stores linashirikisha kibao cha ziada cha "Show Me". Kibao hiki sasa kinaweza kupatikana katika orodha ya uchezaji iitwayo Playlist: The Very Best of Martina McBride.

Mpangilio wa Vibao hariri

  1. "So Magical" (Brett James, Angelo, Hillary Lindsey) – 3:52
  2. "She's a Butterfly" (Big Kenny, John Rich) – 4:00
  3. "City of Love" (Troy Lancaster, Tommy Polk) – 2:59
  4. "This One's for the Girls" (Chris Lindsey, H. Lindsey, Aimee Mayo) – 4:04
  5. "How Far" (Shaye Smith, Ed Hill, Jamie O'Neal) – 3:57
  6. "Reluctant Daughter" (Jon Vezner, Sally Barris) – 2:36
  7. "Wearing White" (Tommy Lee James, Lisa Drew) – 2:51
  8. "When You Love Me" (Angelo, B. James, H. Lindsey) – 4:32
  9. "In My Daughter's Eyes" (James Slater) – 3:14
  10. "Learning to Fall" (Bill Deasy, Odie Blackmon) – 3:57
  11. "God's Will" (Barry Dean, Tom Douglas) – 5:50
  12. "Over The Rainbow" (Howard Arlen, E. Y. Harburg) – 3:34
    • Nyimbo zilizorekodiwa live
  13. "Show Me"
    • Kibao cha ziada cha ‘Limited Edition’

Vibao vya Single hariri

  • This One's For The Girls
  • In My Daughter's Eyes
  • How Far Mei 2004 [1]
  • God's Will Desemba 2004 [2]

Wahudumu hariri

Walivyoorodheshwa katika vidokezo vya albamu hiyo.[1]

Nyuzi zote zimechezwa na Nashville String Machine, zikaelekezwa na kupangwa na Chris McDonald.

Chati hariri

AlbamuBillboard (Marekani Kaskazini)

Mwaka Chati Nafasi
2003 Top Country Albums 1
2003 Billboard 200 7

SinglesBillboard (Marekani Kaskazini)

Mwaka Single US Country US Hot 100 US AC
2003 "This One's for the Girls" 3 39 1
2004 "In My Daughter's Eyes" 4 39 3
"How Far" 12 68
2005 "God's Will" 18 85

Marejeo hariri

  1. (2003) Album notes for Martina by Martina McBride [CD]. RCA Records (RCA82876-54207-2).
Alitanguliwa na
Greatest Hits Volume II
ya Alan Jackson
Top Country Albums Albamu za Nafasi ya Kwanza
18 Oktoba - 24 Oktoba 2003
Akafuatiwa na
Greatest Hits Volume II
ya Alan Jackson