Martinianus (alifariki 325) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma pamoja na Licinius kwa miezi michache ya mwaka 324.

Alimfuata Konstantino Mkuu na kufuatwa naye.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martinianus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.