Mary Machuche Mwanjelwa

Mary Machuche Mwanjelwa (amezaliwa tarehe 27 Agosti 1965) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha siasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa viti maalumu -Mbeya Mjini kwa mwaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017