Mary Nagu

Mwanasiasa wa Tanzania

Mary Nagu (amezaliwa tarehe 11 Mei 1952) ni mbunge wa jimbo la Hanang katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Nagu

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Mary Nagu". 3 Juni 2008. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.