Masokwe wadogo
Giboni wadogo mikono-myeupe (Hylobates lar)
Giboni wadogo mikono-myeupe (Hylobates lar)
Uainishaji wa kisayansi
Domeni: Eukaryota (Viumbe walio na seli zenye kiini)
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
Nusuoda: Haplorrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na kima)
Oda ya chini: Simiiformes (Wanyama kama kima)
Familia ya juu: Hominoidea (Masokwe)
Familia: Hylobatidae (Masokwe wadogo)
Ngazi za chini

Jenasi 5:

Msambao wa masokwe madogo
Msambao wa masokwe madogo

Masokwe wadogo (Kilatini: Hylobatidae) ni familia ya masokwe. Masokwe wadogo wanaishi katika maeneo ya tropiki ya Asia ya Kusini-Mashariki.

Mwainisho hariri

Picha hariri