Matajiri wakuu duniani

Matajiri wakuu duniani kulingana na jarida la Forbes mnamo Aprili 2006, wanaongozwa na mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft, Bill Gates. Bill Gates ametangaza kuwa atastaafu baada ya miaka miwili toka sasa ili kuchukua muda wake kuongoza Taasisi ya Bill na Melinda Gates.

Mmarekani huyu, mwenye umri wa miaka hamsini (50) ana ameongoza orodha hii ya Forbes kwa miaka kumi iliyopita. Mwaka huu mali ya yake yamekadiriwa kuwa dola bilioni hamsini, kama ilivyo miaka yake. Kuna uwezekano kuwa utajiri huu utaongezeka katika miaka ya hivi karibuni kwa vile kampuni yake ya Microsoft inakua kwa kiwango kikubwa vile vile.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Matajiri wakuu duniani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.