Maturini (pia: Maturinus, Mathurin, Matilin, Matelin, Mathelin, Maturin, Maturino[1]; Larchant, leo kaskazini mwa Ufaransa, karne ya 3Roma, Italia, 300 hivi), alikuwa Mkristo, labda padri, maarufu kwa kufukuza pepo[2].

Sanamu yake huko Tessy-sur-Vire.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi[3] kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Novemba[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.