Mcheri
(Prunus spp.)
Mcheri uliotoa maua
Mcheri uliotoa maua
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Rosales (Mimea kama mwaridi)
Familia: Rosaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mwaridi)
Nusufamilia: Amygdaloideae (Mimea iliyo na mnasaba na mlozi)
Jenasi: Prunus
L.
Nusujenasi: Cerasus
Spishi: nyingi

Micheri ni miti ya jenasi Prunus, na nusujenasi Cerasus. Matunda yao huitwa cheri. Kuna spishi nyingi za micheri, lakini mbili tu hupandwa sana katika Ulaya na Asia na pia katika Amerika, Australia na Afrika ya Kaskazini-magharibi: mcheri mtamu (Prunus avium) na mcheri mchachu (P. cerasus).

Spishi hariri

Picha hariri

  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mcheri kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.