Medadi (kwa Kifaransa: Médard, Méard; Salency, Oise, Picardy, Ufaransa, 456 hivi – Noyon, Oise, 8 Juni 545[1] hivi) alikuwa askofu wa Saint-Quentin, lakini baada ya mji huo kuangamizwa alihamisha makao makuu ya jimbo hadi Noyon (531), alipofanya juu chini kufuta ushirikina na kuleta watu kumuamini Yesu Kristo [2].

Sanamu ya Mt. Medadi.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Juni.[3]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Early Life, ed. B. Krusch, Monumenta Germaniae Historica, Auctores Antiquissimi, iv (part 2), 67–73
  • Butler's Lives of the Saints, vi 66–67
  • William Walsh, 1897. Curiosities of Popular Customs ...
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.