Melesi
Melesi wa Ulaya (Meles meles)
Melesi wa Ulaya (Meles meles)
Uainishaji wa kisayansi
Domeni: Eukaryota
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Caniformia (Wanyama kama mbwa)
Familia: Mustelidae (Wanyama walio na mnasaba na chororo)
Nusufamilia: Melinae (Wanyama wanaofanana na melesi)
Jenasi: Meles
Brisson, 1762
Ngazi za chini

Spishi 3:

Melesi (kutoka Kilatini: meles) ni wanyama wa jenasi Meles katika familia Mustelidae. Wanafanana na nyegere wa Afrika lakini ni wakubwa zaidi.

Spishi hariri

Picha hariri

  Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Melesi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  Makala hii kuhusu "Melesi" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili meles kutoka lugha ya Kilatini. Neno (au maneno) la jaribio ni melesi.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.