Melody Maker (lilikuwa likichapwa nchini Uingereza hadi mwaka 2000) lilikuwa jarida lililokuwa likitoa habari za muziki dunia kila wiki.[1]

Faili:Melody-Maker-7-September-1968.jpg
Gazeti la Melody Maker

Jarida liilianzishwa mnamo 1926 likiwa limejibobesha zaidi katika kuelezea taarifa za wanamuziki tu.

Marejeo hariri

  1. Melody Maker to merge with NME, a Desemba 2000 BBC article

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Melody Maker kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.