Mexico (jimbo) ni moja kati ya majimbo ya Mexiko upande wa kati ya nchi. Lina eneo la km² 21,355.

Ziwa Avandaro na MWamba Principe kwenye Bonde la Bravo,jimbo la Mexico
Bendera ya Mexico
Mahali pa Mexico katika Mexiko

Limepakana na Hidalgo, Querétaro, Tlaxcala, Puebla, Morelos, Guerrero na Michoacán.

Kunako mwaka wa 2005, idadi ya wakazi ilikuwa 14,007,495.

Mji mkuu ni Toluca ila mji mkubwa ni San Cristóbal Ecatepec.

Gavana wa jimbo ni Enrique Peña Nieto.

Lugha rasmi ni Kihispania.

Miji mikubwa hariri

  1. San Cristóbal Ecatepec (1,688,258)
  2. Ciudad Nezahualcóyotl (1,136,300)
  3. Naucalpan (792,226)
  4. Toluca (747,512)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mexico (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.