Michael Shaara (23 Juni 19285 Mei 1988) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1975, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Killer Angels.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Shaara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.