Michela Luci (amezaliwa Mei 19, 2006) ni mwigizaji na mwanamitindo wa Marekani anayejulikana kwa majukumu katika filamu ya Dino Dana (2020) na vipindi vya runinga yva Go, Dog. Go! kama sauti ya Tag Barker.

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michela Luci kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.