Carl Mikael Lustig (alizaliwa 13 Desemba 1986) ni mshambuliaji wa Uswidi ambaye anachezea timu ya taifa ya Sweden. Aliwakilisha nchi katika mashindano ya UEFA Euro 2012, UEFA Euro 2016 na Kombe la Dunia la FIFA 2018.

Mikael Lustig

Kazi ya klabu hariri

Lustig alianza kazi yake na klabu ya Sandåkerns SK. Kisha akahamia katika klabu ya Umeå FC, ambapo alicheza kwa takribani miaka miwili.

GIF Sundsvall hariri

Lustig alihamia katika klabu ya Allsvenskan GIF Sundsvall katika msimu wa mwaka 2005, akifunga mara mbili katika michezo nane.Lustig akiwa amecheza mechi 57 hadi msimu wa mwaka 2008 katika klabu hiyo ya Allsvenskan.

Rosenborg BK hariri

Wakati wa majira ya joto lustig alihamia katika klabu iiliyopo Norway iitwayo Rosenborg BK.Baada ya misimu minne akiwa na klabu ya Rosenborg, Lustig alitoka katika klabu hiyo mnamo Novemba 2011.Alijiunga na klabu ya Uingereza ya Ligi Kuu ya iitwayo Fulham.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mikael Lustig kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.